Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania

TLSB Logo TLSB Logo
Tafuta kwenye kwa
service image
Divisheni ya Watoto na Shule (CSSD) hutoa huduma kwa watoto na wanafunzi, pia inahusika kutoa mwongozo katika uanzishaji wa maktaba za shule na vyuo, na kutembelea shule kuanzia za awali, msingi na sekondari. Divisheni imegawanyika katika vitengo vifuatavyo:- •   Ukaguzi (check point) •   Uandikishaji ( registration) •   Uazimishaji (Lending) •    Huduma rejea (Reference) •    Kitengo cha watoto wadogo (Multmedia resources center)