Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania

TLSB Logo TLSB Logo
Tafuta kwenye kwa
SALAMU ZA PONGEZI KWA MWENYEKITI MPYA WA BODI YA WAKURUGENZI TLSB, BALOZI PROF. ELIZABETH KIAGO KIONDO.
19 Mar, 2026
service image
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Bodi ya Huduma za Mkataba Tanzania (TLSB), tunakupongeza Balozi Prof. Elizabeth Kiago Kiondo kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi  ya TLSB. Karibu sana na Kazi iendelee!