Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) inawatakia heri ya Mwaka Mpya Watanzania wote, ukawe mwaka wa Baraka na Fanaka tele, huku tukitunza tunu zetu ambazo ambazo ni Amani, Umoja na Mshikamano.
Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) imeshiriki kikamilifu katika Maonesho yaliyofanyika sambamba na Sherehe za Rombo Marathon & Ndafu Festival 2025, zilizofanyika tarehe 23 Desemba, 2025 kat...
Wakutubi nchini wametakiwa kuhifadhi, kulinda na kusimamia taarifa pamoja na kumbukumbu za Taifa kwa weledi na uadilifu mkubwa, kwani taaluma yao ni muhimu sana katika ulimwengu wa sasa unaokabiliwa n...
Umoja wa Wahitimu wa Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (SLADS ALUMNI) umekabidhi jumla ya Kompyuta Mpakato 11 kwa Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (SLADS) katika hafla iliyofanyika tarehe 20 De...
Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (SLADS) kwa kushirikiana na Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) wameingia katika Mkataba wa Makubaliano ya Kazi (MoU) unaolenga kuimarisha utoaji wa Maf...
Wakutubi nchini wametakiwa kubuni na kuimarisha mbinu mpya katika utekelezaji wa majukumu yao ili kutoa huduma kwa uweledi na ufanisi, hatua itakayowezesha jamii kunufaika kikamilifu na maarifa yaliyo...