Serikali imeonesha kwa vitendo kwamba Maktaba ni nyenzo muhimu ya kupunguza pengo la maarifa, kuongeza usawa wa fursa na kujenga uchumi wa kisasa wa viwanda, ubunifu na TEHAMA. Hayo yemesemwa ...
Jamii imetakiwa kutumia Maktaba kujifunza, kujielimisha, kujiongezea maarifa na ubunifu ili kuwa na jamii iliyoelimika na kufikia lengo la Dira 2050. Hayo yamesemwa tarehe 2 Desemba 2025 na Naibu K...
Tasnia ya vitabu nchini inapaswa kulindwa na kutunzwa kwa gharama yeyote ile kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo. Hayo yamesemwa leo tarehe 26 Novemba, 2026 na Mgeni rasmi, ambaye pia ni Mkurug...
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), Dkt. Mboni Ruzegea, leo tarehe 25 Novemba 2025 ameongoza semina muhimu kwa wakutubi, waandishi wa vitabu, wachapishaji na wadau wa elimu,...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka waandishi wa vitabu nchini kuwa wabunifu katika kazi zao ili kuongeza hamasa ya usomaji na kudumisha amani na um...
Vijana nchini wametakiwa kujenga mazoea ya kutumia maktaba katika enzi hii ya mabadiliko na kukua kwa teknolojia hasa Akili Unde, ili kujiongezea ujuzi unaohitajika katika dunia ya sasa. Hayo y...