Wajumbe wapya wa Bodi ya Wakurugenzi TLSB wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kuletea Bodi mafanikio kwani wamepewa dhamana kubwa na kuaminiwa kushika nafasi hizo. Hayo yamesema na Mwenyekiti wa B...
Kamati ya Kudumu ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Sabiha Filfil Thani, imefanya ziara katika ofisi za Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) M...
Mkurugenzi Mkuu wa TLSB Dkt. Mboni Ruzegea, amefungua maonesho ya vitabu yaliyofanyika katika Meli ya kimataifa ya LOGOS HOPE iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, Ghati namba 2, tarehe 6 Ok...
TLSB kupitia Kitengo chake cha Bibliografia ya Taifa (NBA) kimepokea nakala za vitabu kwa ajili ya kuweka namba tambuzi kutoka kutoka kwa Mwandishi mchanga Peter Nsangano aliyeandika kitabu kiitwacho...
Watumishi wanawake wa Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) Makao Makuu Dar es salaam, tarehe 7 Machi, 2024 wametembelea shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko iliyoko jijini Dar es Salaam na kuwapati...
Watumishi wa TLSB, TBA,TGFA, DCEA na TIC wamepatiwa mafunzo kuhusu Mahitaji ya Rasilimali Watu Serikalini, tarehe 07 Desemba 2023, katika Ukumbi wa Mikutano TLSB Makao Makuu Dar es Salaam. Akifungua...