Mkurugenzi Mkuu wa TLSB Dkt. Mboni Ruzegea, amefungua maonesho ya vitabu yaliyofanyika katika Meli ya kimataifa ya LOGOS HOPE iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, Ghati namba 2, tarehe 6 Ok...
Bodi ya Huduma za Maktaba Tanazania (TLSB), imefanya Semina kuhusu VVU, Ukimwi, Rushwa na Afya ya Akili kwa Watumishi wa SLADS ili kuwaongezea uelewa, maarifa na njia za kukabiliana na changamoto zita...
Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) imepokea vitabu vyenye maudhui mbalimbali zaidi ya 20 kutoka kwa Jumuiya ya Kiislam ya Ahmadiyya ukanda wa Mnazi Moja mkoa wa Dar es Salaam, tarehe 24 Januari...
Mkurugenzi Mkuu wa TLSB Dkt. Mboni Ruzegea, atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari kuelezea Mafanikio na Mwelekeo wa Bodi katika Miaka Minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia...
Chuo Cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka- (SLADS) ni Chuo cha Serikali kinachoendeshwa na Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Chuo kina usajili wa...