Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania

TLSB Logo TLSB Logo
Tafuta kwenye kwa
MKUTANO NA VYOMBO VYA HABARI
25 Mar, 2025
service image
Mkurugenzi Mkuu wa TLSB Dkt. Mboni Ruzegea, atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari kuelezea Mafanikio na Mwelekeo wa Bodi katika Miaka Minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mkutano huo utafanyika tarehe 28 Machi, 2025 katika Ukumbi Mkuu wa Mikutano TLSB Makao Makuu, Dar es Salaam.