TANGAZO LA UDAHILI WA MASOMO CHUO CHA UKUTUBI NA UHIFADHI NYARAKA (SLADS) KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026
20 Jun, 2025
TANGAZO!
Mkuu wa Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (SLADS) anakaribisha maombi ya kujiunga na Chuo kwa kozi za Ukutubi, Uhifadhi Nyaraka na ICT kwa mwaka wa masomo 2025/2026.
Nyote mnakaribishwa!