Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania

TLSB Logo TLSB Logo
Tafuta kwenye kwa
TLSB INASHIRIKI MAONESHO YA WIKI WA UTUMISHI WA UMMA 2025
19 Jun, 2025
service image
Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) inawakaribisha kutembelea banda lake katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma kuanzia tarehe 16 - 23 Juni, 2023. Nyote mnakaribishwa!