Wajumbe wapya wa Bodi ya Wakurugenzi TLSB wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kuletea Bodi mafanikio kwani wamepewa dhamana kubwa na kuaminiwa kushika nafasi hizo. Hayo yamesema na Mwenyekiti wa B...
Kaimu Mkuu wa chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (SLADS) Bi. Bertha Mwaihojo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) Dkt. Maulid J. Maulid, wamefanya kikao maalum na kujad...
Bodi ya Huduma za Maktaba Tanazania (TLSB), imefanya Semina kuhusu VVU, Ukimwi, Rushwa na Afya ya Akili kwa Watumishi ili kuwaongezea uelewa, maarifa na njia za kukabiliana na changamoto zitakazojitok...
Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania imefanya Ufunguzi wa Kona ya Watoto iliyopo ndani ya jengo la Maktaba Kuu ya Taifa, jijini Dar es Salaam leo tarehe 30 Januari, 2025 mara baada ya ukarabati mdogo ul...
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka na Mkurugenzi Mkuu wa TLSB Dkt. Mboni Ruzegea, leo tarehe 11 Machi, 2025 amefungua Mkutano wa Wadau kwa kuhakiki Mtaala wa Chuo cha SLADS....
Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) Dkt. Maulid J. Maulid amewataka Wakutubi kujifunza na kutumia teknolojia za kisasa katika kuchakata, kutayarisha na kuhifadhi taar...