Menejimenti ya TLSB wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu wa Bodi na Mkurugenzi Mkuu wa TLSB Dkt. Mboni Ruzegea (Aliyekaa katikati) mara baada ya kumalizika kwa Mafunzo ya Wajumbe wa Bodi na Menejimenti tarehe 10 Aprili, 2025 katika Hoteli ya Ramada, Dar es Salaam.
Bodi ya Wakurugenzi TLSB katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi hiyo Prof. Rwekaza Mukandala ( Aliyekaa katikati) baada ya kumalizika kwa mafunzo ya Wajumbe wa Bodi na Menejimenti tarehe 10 Aprili, 2025 katika hoteli ya Ramada, Dar es Salaam.
Watumishi Wanawake wa Maktaba ya Mkoa wa Arusha wakishiriki Maandamano katika Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa yalifanyika Jijini Arusha tarehe 8 Machi, 2025.
Kuwa Taasisi ya umma inayoongoza nchini katika kutoa na kusambaza taarifa mbalimbali kwa njia ya vitabu, machapisho na teknolojia ya kisasa kupitia mt...
Kutoa na kusambaza huduma sahihi kwa watu wote kwa wakati muafaka ili kuendeleza kisomo, kujiburudisha na kuendeleza utamaduni kwa jamii. Pia kukusany...
TLSB ni chombo kilichopewa mamlaka ya kisheria ya kupata, kupanga, na kusambaza, taarifa katika nyanja zote za maisha. Maarifa yaliyokusanywa kupitia...
Bodi ya huduma za maktaba Tanzania (TLSB), imepokea vitabu zaidi ya 150 kutoka kwa familia ya marehemu Christopher Mwaijonga ya jijini Dar es salaam, tarehe 6 Februari 2024.
Akimwakilisha Mkurugenz...