Pichani: Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, akizindua rasmi Maktaba Mtandao Jumuishi ya Kitaifa (iNDLS), mfumo unaolenga kuimarisha usajili, utambuzi na uhifadhi wa machapisho yanayozalishwa nchini kwa ajili ya kuhifadhi kumbukumbu za Taifa. Uzinduzi huo ulifanyika tarehe 20 Oktoba 2026 katika viwanja vya Makao Makuu ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kitaifa la Huduma za Maktaba 2026.
Pichani: Wajumbe wa Kamati za Baraza la Wawakilishi Zanzibar, ikiwemo Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) na Kamati ya Ustawi wa Jamii, pamoja na viongozi kutoka Wizara ya Elimu, Mafunzo ya Amali Zanzibar (WEMA) na wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia (WyEST) walipotembelea Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) kwa lengo la kujifunza namna Bodi inavyotekeleza majukumu yake na kutoa huduma za maktaba nchini tarehe 2 Septemba, 2026.
Pichani: Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Petro Magoti (Mgeni Rasmi) akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kisomo yaliyofanyika katika Shule ya Sekondari Sisters of Mary, iliyopo Wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani tarehe 8 Septemba, 2026. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa TLSB Dkt. Mboni Ruzegea na kulia kwake ni Mama Mkuu Sr. Merry Jane Taliness sambamba na viongozi wengine wa Wilaya hiyo.
Kuwa Taasisi ya umma inayoongoza nchini katika kutoa na kusambaza taarifa mbalimbali kwa njia ya vitabu, machapisho na teknolojia ya kisasa kupitia mt...
Kutoa na kusambaza huduma sahihi kwa watu wote kwa wakati muafaka ili kuendeleza kisomo, kujiburudisha na kuendeleza utamaduni kwa jamii. Pia kukusany...
TLSB ni chombo kilichopewa mamlaka ya kisheria ya kupata, kupanga, na kusambaza, taarifa katika nyanja zote za maisha. Maarifa yaliyokusanywa kupitia...
Bodi ya huduma za maktaba Tanzania (TLSB), imepokea vitabu zaidi ya 150 kutoka kwa familia ya marehemu Christopher Mwaijonga ya jijini Dar es salaam, tarehe 6 Februari 2024.
Akimwakilisha Mkurugenz...