Walezi na Watoto 57 kutoka Kituo cha Malezi na Makuzi ya Watoto Tumbi, kilichopo chini ya Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani, wametembelea Maktaba ya Taifa Posta kujifunza umuhimu wa kusoma vitabu n...
Wanafunzi 102 wa Shule ya Msingi Ulongoni ‘A’ kutoka Manispaa ya Ilala, mkoani Dar es Salaam, wametembelea Maktaba ya Taifa Posta kwa lengo la kujifunza kwa vitendo historia ya Tanzania ku...
Jamii imekubushwa kutumia Maktaba kujiongezea maarifa kwani Maktaba ni kitovu cha elimu endelevu na sio ghala la kuhifadhia vitabu pekee. Hayo yamesemwa leo tarehe 9 Septemba 2025 na Mkuu wa Wilaya y...
Pichani: Mkutubi Justine Kilenza akisimamia zoezi la chemsha bongo kwa wanafunzi walioshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Umahiri hii leo tarehe 8, Septemba 2025 katika Viwanja vya Maktaba ya...
MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA UMAHIRI (LITERACY) YAFANA Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) imeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Umahiri (Li...
Pichani: Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TLSB, Prof. Rwekaza S. Mukandala (Kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa TLSB, Dkt. Mboni A. Ruzegea (Kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja tarehe 24 Agosti, 2025 ka...
Mkuu wa Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka yaani School of Library Archives and Documentation Studies (SLADS) kilichopo Bagamoyo na Dar es salaam, anapenda kuwakaribisha wahitimu wote wa m...