Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania

TLSB Logo TLSB Logo
Tafuta kwenye kwa

Habari

...
WANAFUNZI WA GOSHENI NURSERY AND PRIMARY SCHOOL WATEMBELEA M...

Wanafunzi 48 wa Shule ya Msingi na Awali ya Gosheni iliyopo Bunju ‘A’, wilaya ya Kinondoni, wamefanya ziara ya mafunzo katika Maktaba Kuu ya Taifa Posta, leo tarehe 24 Oktoba 2025, jijini...

24 Oct, 2025
...
KITUO CHA MALEZI NA MAKUZI YA WATOTO TUMBI WATEMBELEA MAKTAB...

Walezi na Watoto 57 kutoka Kituo cha Malezi na Makuzi ya Watoto Tumbi, kilichopo chini ya Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani, wametembelea Maktaba ya Taifa Posta kujifunza umuhimu wa kusoma vitabu n...

18 Oct, 2025
...
WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI ULONGONI ‘A’ WATEMBELEA MAKTABA...

Wanafunzi 102 wa Shule ya Msingi Ulongoni ‘A’ kutoka Manispaa ya Ilala, mkoani Dar es Salaam, wametembelea Maktaba ya Taifa Posta kwa lengo la kujifunza kwa vitendo historia ya Tanzania ku...

18 Oct, 2025
...
MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA UMAHIRI (LITERACY)

Jamii imekubushwa kutumia Maktaba kujiongezea maarifa kwani Maktaba ni kitovu cha elimu endelevu na sio ghala la kuhifadhia vitabu pekee. Hayo yamesemwa leo tarehe 9 Septemba 2025 na Mkuu wa Wilaya y...

09 Sep, 2025
...
SIKU YA KIMATAIFA YA UMAHIRI

Pichani: Mkutubi Justine Kilenza akisimamia zoezi la chemsha bongo kwa wanafunzi walioshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Umahiri hii leo tarehe 8, Septemba 2025 katika Viwanja vya Maktaba ya...

08 Sep, 2025
...
MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA UMAHIRI DUNIANI

MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA UMAHIRI (LITERACY) YAFANA              Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) imeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Umahiri (Li...

08 Sep, 2025

Matangazo

MAHAFALI YA 29 YA CHUO CHA UKUTUBI NA UHIFADHI NYARAKA (SLAD...

  Mkuu wa Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka yaani School of Library Archives and Documentation Studies (SLADS) kilichopo Bagamoyo na Dar es salaam, anapenda kuwakaribisha wahitimu wote wa m...

23 Nov, 2023