Siku ya Juma | Muda |
---|---|
Jumatatu - Ijumaa |   9:00AM-07:00PM |
Jumamosi |   9:00AM-2:00PM |
Jumapili & Sikukuu |   Closed/Imefungwa |
Divisheni ya ufundi inajishughulisha na uandaaji, uagizaji, utayarishaji na usambazaji wa machapisho katika Maktaba za Mikoa, Wilaya na Tarafa. Pia inatoa huduma kwa Vyuo, Taasisi za Serik...
Divisheni ya Watoto na Shule (CSSD) hutoa huduma kwa watoto na wanafunzi, pia inahusika kutoa mwongozo katika uanzishaji wa maktaba za shule na vyuo, na kutembelea shule kuanzia za awali, msingi...
Kitengo cha Bibliografia ya Taifa ni sehemu ya Maktaba ya Taifa ambayo inatekeleza majukumu yafuatayo: • Kuelimisha wachapishaji wa ndani juu ya namna bora ya k...
Divisheni ya watu wazima (RSD) hutoa huduma ya usomaji kwa watu wazima na miongozo mbalimbali ikiwemo jinsi ya kuanzisha, kuendesha na kutumia Maktaba nchini. VITENGO KATIKA DIVISHENI i. &n...
Kitabu hiki ni cha tano katika mfululizo wa vitabu vitano vya somo la Sayansi na Teknolojia kuanzia Darasa la Tatu hadi la Saba. Kitabu hiki kimeandaliwa kulingana na muhtasari wa somo la Sayansi na T...
Title: Basic Applied Mathematics Form5 & 6 Author: Tanzania Institute of Education Publisher of Book: Tanzania Institute of Education Year of publication: 2019 Country of Publication:...
Author: Tanzania Institute of Education Publisher of book: Tanzania Institute of Education Year of publication: 2019 Country of Publication: Dar es salaam, Tanzania The book is d...
Author: Tanzania Institute of Education Publisher of book: Tanzania Institute of Education Year of Publication: 2021 Country of Publication: Dar es salaam, Tanzania This textbook, Chemistr...
Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mhe. Amina Mwakilagi ambaye ni mgeni rasmi katika Kongamano la Tatu la Kitaifa la Huduma za Maktaba, Mafunzo, Maonesho ya Vitabu na Usomaji kwa Wanafunzi akitoa hotuba ya u...
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania Dkt. Mboni A. Ruzegea akizindua chumba cha Maktaba kona ya watoto katika Hospitali ya Mkoa ya Sekou Toure.Hafla hiyo ya Uzinduzi ilifanyika tarehe...
Mkurugenzi Mkuu, Dk Mboni A. Ruzegea, kwa niaba ya Bodi na Menejimenti ya TLSB, anawaalika wananchi wote kuhudhuria Kongamano la Tatu la Kitaifa la Huduma za Maktaba, Mafunzo, Maonesho ya Vitabu na Us...